HUDUMA NYINGINE ZINAZOPATIKANA CHUZE LIBRARY

pia huduma ya DJ anaetengeneza na kupiga virtual zote na midundo mikali kabisa anapatika hapa chuze Library

bila kusahau tunaazimisha CD na FLASH pamoja na memory card kwa ajiri ya kwenda kuangalizia nyumbani kwa ambao hawana flash au memory card

Karibu wateja wetu tunazingatia ubora wa utoaji huduma kwa wateja wetu. Tupo kinondoni shuka Mkwajuni Kama unatokea Morocco na pia kama unatokea mbagala.Mteja kwetu ni mfalme.Karibuni sana.

rudi nyumbani